Baraza la Kukuza Biashara za Kimataifa la Jinhua (Jinhua Council for the Promotion of International Trade) inawaalika wafanyabiashara na waingizaji bidhaa kutoka nje katika hafla ya “China Trade Week 2022 itakayofanyika jijini Dar es Salaam - Tanzania kuanzia tarehe 26 hadi 28 Septemba katika Ukumbi wa Aga Khan Diamond Jubilee kuanzia saa 4 asubuhi hadi saa 11 jioni.
Ili kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi na kibiashara kati ya China na Tanzania, zaidi ya makampuni 50 na wawekezaji wa Kichina watashiriki. Wawekezaji hawa watatoka katika sekta ya kilimo, umeme, ujenzi, magari na bidhaa:mahitaji ya kila siku.
Ili kushiriki, jisajili mkutano huu wa biashara kwa biashara (B2B) kupitia linki ifuatayo: https://forms.gle/Z1P7MCNn9AT1rTFX8
KONGAMANO LA BIASHARA KATI YA TANZANIA NA ITALY
Read MoreKONGAMANO LA BIASHARA NA UWEKEZAJI BERLIN, UJERUMANI 13 ā14 OKTOBA, 2022
Read MoreMSAADA YA KIFEDHA KWA KAMPUNI BINAFSI ZA MAENDELEO ENDELEVU
Read More