Kiwango cha mayai ya kuku kwa mujibu wa TBS
Chicken Table eggs — Specification ni kiwango namba TZS 2183: 2018. Kiwango hiki kimetengenezwa ili kumuongoza mzalishaji wa mayai ya kuku kuhusu viwango vya mahitaji, sampuli na upimaji ili aweze kuandaa bidhaa bora na salama kwa matumizi na itakayokidhi mahitaji ya mauzo katika soko la ndani na hata la nje ya nchi. Kiwango hizi vinapatikana kwenye tovuti ya TBS https://tbs.go.tz/catalogues.
Read More