Description: Chicken Table eggs — Specification ni kiwango namba TZS 2183: 2018. Kiwango hiki kimetengenezwa ili kumuongoza mzalishaji wa mayai ya kuku kuhusu viwango vya mahitaji, sampuli na upimaji ili aweze kuandaa bidhaa bora na salama kwa matumizi na itakayokidhi mahitaji ya mauzo katika soko la ndani na hata la nje ya nchi. Kiwango hizi vinapatikana kwenye tovuti ya TBS https://tbs.go.tz/catalogues.
Commodity: Mayai ya kisasa
Import Location: TANZANIA
Export Location: TANZANIA
Trade Operation: Biashara za ndani
Specification Type: Jinsi ya kupata nembo ya TBS
Maombi ya kupata alama ya ubora wa bidhaa hufanywa na muombaji kupitia mfumo wa kielektroniki(i-SQMT) unapatikana kwenye website hii ya TBS https://portal.tbs.go.tz. Baada ya maombi wakaguzi hufanya ukaguzi kwenye kiwanda na kupima sampuli ya bidhaa kwenye maabara ya TBS. Mkaguzi huandaa taarifa kuhusu kiwanda na mambo yanayostahili kurekebishwa. Ikiwa kiwanda na sampuli ya bidhaa zimekidhi vigezo alama ya ubora hutolewa kwa muhusika. Leseni ya alama ya ubora itatumika kwa mwaka mmoja.