Ubalozi wa Tanzania nchini Ujerumani unaandaa kongamano la biashara na uwekezaji litakalofanyika mjini Berlin, nchini Ujerumani kuanzia tarehe 13 – 14 Oktoba, 2022.
Kongamano hili linalenga kuimarisha ushirikiano wa kibiashara na uwekezaji, kujenga ushirikiano wa kibiashara na kukuza diplomasia ya uchumi kati ya Tanzania na bara la Ulaya.
Ili kushiriki, tafadhali jisajili kupitia kampuni/shirika lako kwa kutuma barua pepe kwa berlin@tzembassy.go.tz
Baada ya kujiandikisha, utapokea barua pepe ya uthibitisho pamoja na ratiba kamili ya kongamano.
KONGAMANO LA BIASHARA KATI YA TANZANIA NA ITALY
Read MoreMSAADA YA KIFEDHA KWA KAMPUNI BINAFSI ZA MAENDELEO ENDELEVU
Read MoreKONGAMANO YA BIASHARA LA CHINA DAR ES SALAAM TAREHE 26-28 SEPT 20222
Read More