Ubalozi wa Italy nchini kwa kushirikiana na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wameandaa Kongamano la Biashara kati ya Italy na Tanzania (Italy - Tanzania Business Forum) litakalofanyika Zanzibar Tarehe 28 Septemba 2022 katika Ukumbi wa Golden Tulip Airport Hotel, kuanzia saa 02:30 asubuhi na Jijini Dar es Salaam Tarehe 30 Septemba 2022 katika Ukumbi wa Julius Nyerere International Convention Centre (JNICC), kuanzia saa 02:30 asubuhi.
Maeneo muhimu yatakayoangaliwa katika Kongamano hili ni; Kilimo Biashara, Mashine, Miundombinu na Uchumi wa Bluu (Blue Economy).
Ili kushiriki, tafadhali jiandikishe kupitia linki ifuatayo: https://bit.ly/3RECS8E. Mwisho wa kujisajili ni tarehe 15 Septemba 2022.
Kwa taarifa/maelezo zaidi, tafadhali wasiliana nasi kupitia namba : 0677 070 408 au 0757 823982
KONGAMANO LA BIASHARA NA UWEKEZAJI BERLIN, UJERUMANI 13 ā14 OKTOBA, 2022
Read MoreMSAADA YA KIFEDHA KWA KAMPUNI BINAFSI ZA MAENDELEO ENDELEVU
Read MoreKONGAMANO YA BIASHARA LA CHINA DAR ES SALAAM TAREHE 26-28 SEPT 20222
Read More