Kwa mara nyingine tena Chama cha Wanawake Wafanyabiashara Tanzania (TWCC) kimeandaa ziara ya wanawake nchini, Turkey katika mji ya Istanbul.
*Tarehe: 11 Oktoba hadi 19 Oktoba 2022*
Ziara hii itahusisha;
- Maonesho ya Teknolojia ya uzalishaji vyakula na bidhaa (15th International Food and Beverage Technologies Fair from 12-15 October 2022, yatakayofanyika Tuyap Fair Centre mji wa Istanbul .
- Maonesho ya Vifungashio(International Packaging Industry Fair) 12 to 15 October 2022) yatakayofanyika ,Tuyap Fair Center katika mji wa Istanbul.
- Maonesho ya Bidhaa na Vifaa vya Urembo (Cosmetics and Beauty Exhibition from 13 to 15 October 2022) yatakayofanyika katika mji wa Istanbul.
*Gharama:*
*Dola - 2100$*
Ghara zitahusisha;
1) Malazi
2) Usafiri wa ndege (Return ticket )
3) Visa
4) Bima
6) Usafiri wa ndani ya Uturuki
Mwisho wa kuthibitisha kushiriki ni tarehe 20 Septemba, 2022
Thibitisha ushiriki kwa kulipia safari kupitia:
Akaunti ya dola
CRDB BANK: 0250029021100
Jina: Tanzania Women Chamber of Commerce
: 0757823982/0684112311/0677070408
: info@twcc-tz.org
Wote mnakaribishwa
RAIS MWINYI AWAPONGEZA WAJASIRIAMALI WA TWCC
Read MoreTWCC WOMEN IN BUSINESS BREAKFAST MEETING 10 SEPTEMBA 2022
Read MoreGOVERNMENT ASSURES WOMEN ENTREPRENEURS WITH MORE SUPPORT
Read More