TWCC WOMEN IN BUSINESS BREAKFAST MEETING/MKUTANO WA MWEZI
*Tarehe:* 10 Septemba 2022
*Mahali* : Ukumbi wa Ngome Holding, Mwenge, Dar es Salaam
*MUDA*: kuanzia saa 1:30 Asubuhi hadi saa 6:30 Mchana.
*AGENDA*
1. Networking/Kujenga Mtandao wa Kibiashara
2. Elimu ya Kodi na Ufafanuzi juu ya Sheria ya Fedha ya mwaka 2022/2023
3. Huduma za Kisheria zitolewazo na Josan Attorney
4. Elimu ya Bima kutoka Shirika la Taifa la Bima (NIC)
5. Fursa za Uwekezaji- UTT AMIS
6. Fursa za Mitaji ya Biashara/Grant/Ruzuku
7. Ziara ya Wafanyabiashara nchini Uturuki kuanzia tarehe 11 hadi 19 Oktoba 2022.
8. Taarifa na Fursa Mbalimbali za Kibiashara kwa mwaka 2022
Mwisho wa kuthibitisha ushiriki ni tarehe 9.09.2022 saa 12 na nusu jioni.
Tuma jina kamili baada ya kulipa kiingilio kupitia namba zifuatazo;

0757 823982 M-pesa (TWCC)

0677 070408 T-pesa (TWCC)

0684 112311-A- Money(TWCC)
*Kiingilio kwa ajili ya kushiriki mkutano huu*:
Wanachama - 5,000/-
Wasio wanachama - 10,000/-
*Wahusika:* Wanawake na Vijana wa kike. Wahi nafasi ni chache
Meza kwa ajili ya maonesho/mauzo zitatolewa bure.