GS1

GS1 Tanzania ni chombo kilichoanzishwa kwa jitihada za Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Viwanda na Biashara kwaajili ya kutoa huduma ya Barcode na QR Code. BARCODE(msimbomilia) ni mfumo wa ufuatiliaji wa bidhaa kwenye mnyororo wa thamani. Faida za Barcode nikuongeza soko la bidhaa za mfanyabiashara, kupunguza makosa ya kuandika bei za vitu, kuokoa muda wa kukagua shehena yako kila mara, kuongeza Imani ya watumiaji wa bidhaa zako, kuongezeka kwa kipato cha mfanyabiashara.

Contact Details

Locations:
  • DAR ES SALAAM
  • Operating Countries:
  • Tanzania
  • Physical Address:
  • TIRDO Makao makuu Kimweri Rd, Msasani, Dar es salaam,Tanzania