Taasisi ya kifedha iliyochini ya wizara ya fedha iliyosajiliwa na Benki kuu ya Tanzania(BOT) kwa usajili namba MSP2-0384 kwa mujibu wa sheria ya huduma ndogo za kifedha ya mwaka 2018. Taasisi inatoa huduma za kifedha zikiwemo mikopo kwa mtu mmoja mmoja na vikundi.