Mkutano na Maonyesho ya 8 ya Kitaifa ya Sayansi Teknolojia na Ubunifu STICE

Location

Julius Nyerere International Conference Centre

Venue

Julius Nyerere International Conference Centre

Institution

Tume ya sayansi na TeknologiaCOSTECH

Date

Jun 14, 2023

Jun 16, 2023

Time

9:00 AM - 6:00 PM

Mkutano na Maonyesho ya 8 ya Kitaifa ya Sayansi Teknolojia na Ubunifu STICE

Lengo la STICE ni kuwakutanisha viongozi wa serekali wanasayansi watafiti watunga sera wabunifu wafadhili washirika wa maendeleo na wadao wa sekta ya sayansi na teknologia Ni jukwaa muhimu kwa kubadilishana habari na uzoefu

Tickets

Ticket #1

http stice costech or tz

TZS 0.0