Maonyesho ya ujenzi ya Dar es salaam

Location

Dar es salaam International Conference Centre

Venue

Dar es salaam International Conference Centre

Institution

Mikono Expo Group

Date

Oct 11, 2023

Oct 13, 2023

Time

8:00 AM - 6:00 PM

Maonyesho ya ujenzi ya Dar es salaam

Maonyesho ya Ujenzi ya Dar es Salaam yataonyesha bidhaa na huduma kutoka kwa wanajiolojia wabunifu wahandisi makandarasi wa ujenzi wapimaji washauri wa gharama mameneja wa mradi wauzaji watoa huduma wawakilishi wa serikali na wawekezaji


Tickets

Ticket #1

Watembeleaji

TZS 0.0

Ticket #2

gharama la hema kwa ajili ya kutanga biashara na huduma

TZS 6500000.0