Country From: JUMUIYA YA AFRICA MASHARIKI
Country To: JUMUIYA YA AFRICA MASHARIKI
Trade Operation: Biashara za ndani
Description
Baada ya malipo kufanyika Mkaguzi atafika kukagua jengo kulingana na vigezo vilivyowekwa ili kujiridhisha na kisha mwombaji atapewa mrejesho.
Online Application : No
Application Url : Not Set
Cost : 1
Time Frame : siku 1
Payment Process : Not Set
Description
TBS kwa mujibu wa sheria husajili majengo/maeneo yanayohusika na biashara za vyakula na vipodozi kama machinjio, mabucha, maduka makubwa (supermarkets), maduka ya vyakula na vipodozi, wanaopika vyakula kwenye masherehe (caterers), mahoteli, migahawa, maghala na maeneo ya uzalishaji.
Requirements
Online Application : No
Application Url : https://oas.tbs.go.tz/
Cost : 50000
Time Frame : wiki 1
Payment Process : Malipo kwa njia ya mitandao ya simu na benki kwa kutumia nambari ya malipo(control number) inayotolewa na TBS kulingana na aina ya biashara.