Leseni ya biashara ya kuuza mazao nje
Description
Leseni ya biashara ni kibali ambacho hutolewa kwa mfanyabiashara au mtoa huduma ili kumpa ruhusu ya kufanya biashara nchini Tanzania. Leseni za kufanya biashara nje ya nchi hutolewa na wakala wa usajili wa biashara na leseni (brela).Biashara zinazohusika na biashara ya kimataifa zinatakiwa kupata leseni ya biashara ya daraja "A".
Requirements
- Kitambulisho cha NIDA cha mwombaji
- Cheti cha utambulisho wa mlipa kodi-Yani TIN
- Mawasiliano ya mfanyabiashara
- Mkataba wa pango (Nakala)
- Cheti cha usajili wa kampuni au jina la biashara(Kama vipo)
Online Application : No
Application Url : https://business.go.tz/starting-a-new-business
Cost : 300000
Time Frame : siku 3
Payment Process :
Kwa njia ya simu na mtandao baada ya kupata kumbukumbu ya malipo ya serekali (control number)