Tailoring Services
TZS 20000/ KILA MOJA (PER PIECE)
Minimum Order Quantity : 30 KILA MOJA (PER PIECE)
Minimum Order Amount : TZS 600000
Description
Mwaminifu katika Kazi yangu,mteja Unapata nguo kwa wakati, nguo inashonwa vizuri na finishing nzuri sana watu tunawahudumia ni watoto na wamama na wababa. Na tunaipakia vizuri na kukufikia mahala usika kwa wakati. Na tunashona mitindo ya aina yote na tunapokea order za kushona uniform na tunashona bendera za siasa.
More From This Seller
No other products from this seller