Simplify VFD

TZS 250000/ MWAKA

Minimum Order Quantity : 1 MWAKA

Minimum Order Amount : TZS 250000

Description

Simplify VFD ni mfumo unaomwezesha mtoa huduma au mfanyabiashara kuanda na kutoa risiti za EFD kupitia simu ya mkononi popote alipo. Gharama za kuunganishwa na mfumo ni 250,000 ( Ada ya kujiunga 91,000/- pamoja na ada ya kila mwaka 59,000/- ,printer 100,000) Bila VAT Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia :0658507103/0745507103 Au barua pepe sales@simplify.co.tz

Comments

More From This Seller

No other products from this seller

Similar From Other Sellers

Uchoraji