BIMA YA NYUMBA

TZS 88500/ SET

Minimum Order Quantity : 1 SET

Minimum Order Amount : TZS 88500

Description

Ujenzi wa nyumba ni uwekezaji unaogharimu muda na kiasi kikubwa Cha pesa.Lakini uwekezaji huu unaweza kupotea kwa dakika chache sana. Je unafahamu kuwa bima ya moto ni rahisi kuliko bima zingine?. Huu ni mfano halisi wa thamani za nyumba na bima yake husika kwa mwaka: 50M-88,500/= 75M-133,000/= 100M-177,000/= 150M-265,000/= 200M-354,000/= 300M-531,000/= 400M-708,000/= 500M-885,000/= Karibuni sana K-FINANCE INSURANCE BROKERS-KIB tuwahudumie. Wasiliana nasi kwa namba za simu 0677010699 KIB Ins

Comments

More From This Seller

No other products from this seller

Similar From Other Sellers

Uchoraji