THE BETTER YOU LIMITED
TZS 50000/ SIKU
Minimum Order Quantity : 3 SIKU
Minimum Order Amount : TZS 150000
Description
Kampuni yetu Inahusika na Mafunzo mbalimbali ili kuimarisha Biashara na kuboresha rasilimali watu hatimaye kuinua Mauzo na kudumu Kibiashara. Tumefanya kazi na Taasisi zaidi ya kumi na Wafanyabiashara mbalimbali. Kurasa yetu ya Instagram unaweza kupitia kwa mengi zaidi. Huduma zetu ni KUIMARISHA TIMU, KUONGEZA MAUZO, MAWASILIANO YENYE TIJA, KUJIMUDU NA HASIRA, JINSI YA KUANDAA NA KUTIMIZA MALENGO,UONGOZI BIASHARA na WATEJA. Kwa kila Mtu mmoja gharama ni 50,000/=. Tunapatikana Mbezi Beach
More From This Seller
No other products from this seller